Professional Blog Viewer

Browse blog posts clean and secured.

Total Posts
8
Quick and secure filtering

🔖 Latest Blog Posts

Showing 7 to 8 of 8 posts
Page 2 of 2

TAARIFA KWA WAZAZI

🗓 August 14, 2025 at 1:33 pm
Habari
Leo tarehe 14.08.2025, shule ya msingi Mwanzugi imefanya kikao cha kitaaluma kwa wazazi wa wanafunzi wa Darasa la Pili, kikiongozwa na Mwalimu Mkuu Said Munene pamoja na walimu wake. Lengo kuu lilikuwa kuwajulisha wazazi maendeleo ya watoto wao kitaaluma na kujadiliana njia bora za kuongeza ufaulu zaidi kwa wanafunzi katika masomo yao pia waweze kufanya vizuri kwenye mtihani wao wa mwisho wa kumaliza darasa la pili.
"Elimu bora ni urithi wa thamani zaidi kwa mtoto."

Kwa mawasiliano zaidi piga simu zifuatazo:
0753576431-MWL MKUU MWANZUGI
0757177828-MWL MKUU MSAIDIZI
0621092667-KATIBU MSAIDIZI WA TAALUMA (MWL WA MIFUMO)

TAARIFA KWA WAZAZI

🗓 August 14, 2025 at 10:05 am
Habari mzazi,
Unaombwa kuingia kwenye mfumo wetu wa matokeo ili kuangalia alama za mwanao kwa Testi 1 na Testi 2 za darasa la saba. Tafadhali tembelea mfumo wetu kupitia 'mwanzugi.com' tuliyokupa awali. Asante kwa ushirikiano wako.